Download our ebook

Kanisa Linahitaji Kujua

Download

TUMEUNGANISHWA NA MSALABA

Church Team Ministries International (CTMI) ni mtandao wa Kikristo usiokuwa rasmi, ulioundwa mwaka 2001 na timu ya viongozi kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliounganishwa na ujumbe wa msalaba na kazi ya Mungu maishani mwao.

Maono ya CTMI ni kuwawezesha na kuwaimarisha viongozi wa makanisa ya Afrika na maeneo yaliyoko mbali kwa njia ya ujumbe wa kitume wa msalaba.
Katika kuyatimiza haya maono, CTMI huendesha makongamano na mikutano mbalimbali, huutangaza ujumbe wake kupitia vituo vya luninga na redio, na husambaza machapisho yake na zana mbalimbali za Kikristo kupitia vitovu vyake barani Afrika na kwingineko duniani.

JINUFAISHE NA HUDUMA ZA BURE

magazine

Pata habari moto moto kutokana na yanayojiri kwenye ziara za ki-utumishi, na utiwe moyo na makala za kukusisimua kiroho. Anza kusoma

sermons

Utajiri wa mahubiri kutoka duniani kote, kwa lugha mbalimbali.
Jipatie mahubiri

training

Jichagulie kozi mbalimbali za masomo ya Biblia na ujiimarishe katika Neno la Mungu.
Anza kozi sasa

live

Matangazo ya ibada ya moja kwa moja kwa lugha mbili (Kifaransa na Kiingereza) hurushwa kila Jumapili kutoka Mauritius saa 8:30 (Muda wa Afrika Mashariki).
Tazama sasa

Ratiba ya vipindi

Fuatilia vipindi vya CTMI mahali popote ulipo.

SAIDIA KUIENEZA INJILI

Ni muhimu sana kwamba ujumbe wa msingi wa msalaba upate kutangazwa na kanisa, si tu kwa ajili ya kuokolewa wanadamu wote, bali pia kwa ajili ya waaminio kutakaswa na kufananishwa na sura ya Kristo. Ujumbe huu unauunganisha Mwili wa Kristo – ukivunja mipaka yote ya rangi, tamaduni, na madhehebu. Angalia jinsi unavyoweza kutusaidia.

CTMI KARIBU NAWE

Tumeweka vitovu katika Afrika na ulimwenguni kote, na tungefurahia kusikia ni kwa jinsi gani tunavyoweza kukusaidia. Tafadhali wasiliana nasi.

NETWORK IN AFRICA

Network In Africa
 • 1. INDIAN OCEAN

  Comores, Mauritius, Madagascar, Reunion Island, Rodrigues, Seychelles

  Miki Hardy | website

 • 2. SOUTHERN AFRICA

  South Africa, Southern Botswana, Lesotho, Namibia, Swaziland

  Neil Martin | website

 • 3. CENTRAL SOUTHERN AFRICA

  Zimbabwe, Angola, Northern Botswana, Malawi, Mozambique, Zambia

  Richard Langworthy

 • 4. EAST AFRICA

  Kenya, Burundi, East DRC, Rwanda, South Sudan, Tanzania, Uganda

  Stephen Gachengo | +254 719 370 389

 • 5. CENTRAL AFRICA

  Cameroon, Central African Republic, Congo, DRC, Gabon, Nigeria, Southern Chad, Equatorial Guinea

  Paul Dimalla | +237 243 263 442

 • 6. WEST AFRICA

  Ivory Coast, Benin, Burkina Faso, Gambia, Ghana, Guinea, Guinea-Bissau, Liberia, Senegal, Sierra Leonne, Togo

  Gilbert Grant

 • 7. NORTH AFRICA

  Algeria, Cape Verde, Djibouti, Egypt, Eritrea, Ethiopia, Libya, Mauritania, Mali, Morocco, Niger, North Sudan, Somalia, Western Sahara, Tunisia

  Gilbert Grant

OTHER REGIONS

 • 1. NORTH AMERICA

  Neil Martin

 • 2. SOUTH AMERICA

  Peter McKenzie

 • 3. EUROPE

  Jean-Louis Gaillard | website

 • 4. ASIA / MIDDLE EAST

  Gilbert Grant

 • 5. AUSTRALIA

  Peter McKenzie